Pretoria University Law Press (PULP)

PULP is an open-access publisher based at the Centre for Human Rights, University of Pretoria

Mwongozo wa Mfumo wa Haki za Binadamu Afrika - Maadhimisho ya Miaka 40 Tangu Kukubalika kwa Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu 1981-2021
Mwongozo huu umeandaliwa na Kituo cha Haki za Binadamu, Kitivo cha Sheria, Chuo Kikuu cha Pretoria kwa kushirikiana na Tume ya Afrika
2021
ISBN: 978-1-991213-04-4
Pages: 106
Print version: Available
Electronic version: Free PDF available

Pakua kitabu


Kuhusu uchapishaji

Mwongozo huu unachukuliwa kama ni utangulizi unaopatikana na wenye taarifa nyingiMwongozo huu unachukuliwa kama ni utangulizi unaopatikana na wenye taarifa nyingiza mfumo wa haki za binadamu ulioanzishwa na Umoja wa Afrika. Mwongozo huuunatoa muhtasari wa maendeleo yanayohusu Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamuna Watu, chombo chake cha usimamizi, Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu,Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, na Mkataba wa Haki na Ustawiwa Mtoto na chombo chake cha usimamizi, Kamati ya Afrika ya Wataalam wa Hakina Ustawi wa Mtoto. Toleo hili la Mwongozo lilizinduliwa tarehe 27 Juni 1981, kwakuadhimisha miaka 40 iliyopita, ambapo Mkataba wa Afrika ulipitishwa. Pia, mwaka2021 ni mwaka wa 15 tangu Mahakama ya Afrika ianze kufanya kazi.

Mwongozo unalenga kuonyesha matukio muhimu ya maendeleo ya kihistoria na kutoautangulizi wa mfumo wa Afrika wa haki za binadamu, unaopatikana na unaoendeleakurejewa kila wakati. Mwongozo umeandaliwa na Kituo cha Haki za Binadamu, Kitivocha Sheria, Chuo Kikuu cha Pretoria kikishirikiana na Tume ya Afrika. Matoleo mawiliya Mwongozo yalitolewa mwaka 2011 na 2017.

Kituo cha Haki za Binadamu, ambacho mwaka 2021 kinasheherekea miaka 35 tangukuanzishwa kwake mwaka 1986, ni idara ya kitaaluma na pia ni Shirika Lisilo laKiserikali. Kituo kina hadhi ya uangalizi katika Tume ya Afrika. Kituo kinatoa programuza kitaaluma na kinashiriki katika utafi ti, utetezi na mafunzo ya haki za binadamu,kikilenga zaidi Afrika. Progamu zake kuu ni Shahada ya Umahiri katika Haki zaBinadamu na Demokrasia katika Afrika na Mashindano ya Mahakama ya Afrika Haki zaBinadamu ya Mfano. Kwa taarifa zaidi kuhusu Kituo cha Haki za Binadamu, tembeleawww.chr.up.ac.za


Yaliyomo

 Orodha ya Vifupish

Sababu ya Kusheherekea

A. Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu naWatu na Viwango Vya Ziada

B. Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

C. Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

D. Mkataba wa Afrika wa Haki na Ustawi wa Mtoto

E. Kamati ya Afrika ya Wataalam wa Haki naUstawi wa Mtoto

Bibliografia 


Pakua kitabu


Keywords:


ORCID

ORCID provides a persistent digital identifier that distinguishes you from every other researcher and, through integration in key research workflows such as manuscript and grant submission, supports automated linkages between you and your professional activities ensuring that your work is recognised. If you do not have such an ID, please register at the website https://orcid.org/register.