Mwongozo wa Mfumo wa Haki za Binadamu Afrika - Maadhimisho ya Miaka 40 Tangu Kukubalika kwa Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu 1981-2021
Mwongozo wa Mfumo wa Haki za Binadamu Afrika - Maadhimisho ya Miaka 40 Tangu Kukubalika kwa Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu 1981-2021 Mwongozo huu umeandaliwa na Kituo cha Haki za Binadamu, Kitivo cha Sheria, Chuo Kikuu cha Pretoria kwa kushirikiana na Tume ya Afrika 2021
ISBN: 978-1-991213-04-4 Pages: 106 Print version: Available Electronic version: Free PDF available